Tundu A.M Lissu na John Heche walichaguliwa na Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Hakuna kiumbe yeyote anayeweza kuwaondoa zaidi ya Mkutano Mkuu wa chama Taifa ambao uliwachagua. Hizo porojo nyingine ni mazombi ya mbogamboga yamelewa visungura tu na hayaelewi muundo wa katiba ya CHADEMA.
@marxwelbe@Rakeem0101 Urambo ni sehemu ya kijinga sana, pale wafanyabiashara wa zamani wamejimilikisha biashara, wanafitina na ukija juu figisu zake sio kitoto
@_midy10@mpandujialoyce@XMusk04@Addy_Adams Yaani hata kama hauwezi kyfanya biashara ni vyema ukafanya investment ya kueleweka sasa, 10mils kwa mwaka ikupe faida ya 1.2Mil? Duuh
Jamaaaa kapigwa faini milioni 5 kisa kuweka madumu juuu ya sarfa lakini huyohuyo alio pigwa faini hiyo sarfa anakaza kamba Kila baada ya km 200 Sasa na yeye awapige faini
Jamaa wa Podcast anasema alikua mtu wa kwanza kuuza PC miaka ya 2021,,, wakati humu TL kuna mwanangu ni Engineer aliniuzia PC Toshiba mwaka 2007 wakati anasoma Chuo
Podcast ni ndefu sana 4hrs nimeishia dkk ya 23 baada ya kuskia hayo maneno hapo juu 😆😆
Hili Shamba lina Eka 200 za Mahindi, wanaanza kuvuna Ijumaa,tajiri anaishi nje ya nchi na tayari ameshaagiza magunia 2000 ya kuvunia,lakin uhalisia pale unaona kabisa kuna gunia 34 tu.Msimamizi ilibidi apige moto shamba kukwepa aibu wananzengo wakauzima😂