QUOTE: I want you Tanzanians to believe that you have a real president, a real rock. I cannot be threatened and I am not threatened.
-John Magufuli-
(Tanzania's former president speaking in March 2018)
Mikono ya Mama haijawai choka wala kua midogo,siku zote hupokea na kubeba mapungufu ya Watoto wake na kuyaifadhi pahala salama ili kuwalinda na dhoruba za Ulimwengu.
Leo tumekua wakubwa,na sisi tulinde madhaifu ya Mama zetu na tuwapende maradufu, Baraka zake hazina kifani...
Serikali yeyote jukumu lake la kwanza ni kulinda raia wake ktkn na vitisho vya usalama wao. Hivyo serikali inatakiwa kuunda mfumo madhubuti wa ulinzi wa ndani na mipaka.Waliopewa dhamana ya kulinda nchi yake na kuitetea ikiwa kuna vita|uvamizi kutoka kwa maadui ni Jeshi
#UZI...👇