@Mchawipesa@ManenoIzaak Ukiwa una kadi ya bima halafu ikawa Ina expire mwezi ujao unatakiwa kulipia mwezi mmoja kabla haijaexpire ukisubili mpaka ikaexpire Ni unaanza upyaaaaa ndo maana unasubilia tena miezi 3 ila ungerenew kabla ya tarehe ya kuexpire ungeendelea kutumia bima Yako kama kawaida