@moodewji Kuna Dada nilimkopa Laki mbili kila nikimdai ananiita “Darling” mara “Sweetheart” nishauri Tajiri MO ni kwa namna gani naweza kupata fedha yangu.🌚
@kapeto98 Degree ya akaunt,,ukimaliza kasome cpa,hakikisha unasoma akaunt nasio unanunua cozwork,njoo morogoro upige kazi kwenye mabank yote hawana expat unapiga kazi zao daily unapewa laki3 kwa bank3 kila siku,,,kazi zipo watu hawana utaalamu
@mchachu_ Naenda ilala nanunua pochi za ml5 za mtumba,mkoba wa ef15 mkali sana ,naleta mkoani nauza ef40 mpaka ef30 mwisho afta napata half profit,kumbuka unaingia field nasio unafungua ofc ,ofc inakuwepo kulinda mzigo tu,so mwanamke mmoja atachukua pochi kuanzia 2mpaka 7