Naandika nikiwa na Akili Timamu, Kilichotokea kwa MBOWE iwe fundisho kwa wabunge wengine wa CCM ambao muda wao wa kuwatumikia Wananchi umekwisha na kukosa nuru, ni vema wakasoma Alama za nyakati na kujitafakari zaidi, Wakipata mafao yao ya bunge wayatumie vizuri na si vinginevyo.
Wakati mwingine, ni wafanyabiashara walafi wanaotuletea maafa yanayoweza kuepukika. Fikiria jengo lenye umri wa miaka 20, ambalo halijawahi kuwa na matatizo yoyote, lakini mwenye jengo anafanya maamuzi ya kutojali. Anachimba chini ili kuongeza sehemu ya chini ya ardhi (underground), bila kuzingatia athari zake, na kusababisha upande mmoja wa jengo kuzidiwa na hatimaye kuanguka. Pia, anaongeza sakafu juu bila kufanya tathmini ya kitaalamu kuhusu uwezo wa nguzo na msingi wa jengo kubeba uzito huo wa ziada.
Serikali inapaswa kuwachukulia hatua kali wafanyabiashara wanaohatarisha maisha ya Watanzania wenzao kwa sababu ya ubinafsi na tamaa yao. Maafa kama haya yanapaswa kuepukwa kabisa.
Damu ya Yesu ina nena mema.
Damu ya Yesu inenayo mema, ikanene mema kinyume na mabaya uliyotamkiwa/uliyojitamkia mwenyewe kwa Jina la Yesu.
Damu ya Mwana-Kondoo itakase na kuondoa kila hatia unayoshtakiwa nayo, Ikafanye hukumu na kulipa gharama Kwa Jina la Yesu.
@iamthatfemale Maybe unaowaona ww, nnaowaona mm hawasemi kwahio watu wanaagiza wakihisi ni cheap, ukiweka gharama na muda wa kusubiri inakua bora angenunua kariakoo kama ni jumla au rejareja
Unakuta mtu ako na mtaji wa 10m anataka umshauri kuingia kwenye biashara fulani.
Ushauri wangu.
Anzia kwenye uwinga, anzia kwenye kua mtu wa dukani, anzia kwenye kujitolea kufanya kazi sehemu fulani, yaani start somewhere ambapo utajifunza hicho unachokitaka huku ukiwa observer.
Nawapa mfano wa kabila la wakinga, mkinga anafungua duka la nguo, anapiga biashara na kuimasta vizuri alafu anamchukua mdogo wake kutoka kijijini…