@AluteTheInc17@Alfredcharles23@Dr_ILOMO@Adventure_36 Nenda office za mkuu wa mkoa Wizara ya Ardhi kwa msajili mkuu wa majina na nyaraka. Ukifika pale unaweza chagua wakutengenezee wenyewe DEEP POOL au uende kwa mwanasheria kama unahisi kwako itakua gharama. Palepale ni 82000 kitu kama hicho, ila kwa mwanasheria ukichukua pale 32000
@handsomeboywenu@Joseph_leonard4@Dr_ILOMO@Adventure_36 Mzee hapo unachukua DEEP POOL, Ina maana unakataa jina Moja, unakubali jina Moja. Chakufanya unaenda office za mkuu mkoa , Wizara ya Ardhi kwa msajili mkuu wa majina unarekebishiwa. Pia inategemea pia na huko wanataka ni vizuri pia kuuliza wahusika.
@fezoomaster Unapigia mbuzi gitta bro, af ifikie wakati Kila mmoja amini anachokiamini. Haina haja hata ya kutukanana wewe kama akikudharau na wewe mdharau. Lakini kwa hii style unayotumia ndo unaendelea kuchochea tu.