𝐔𝐒𝐇𝐀𝐇𝐈𝐃𝐈 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐇𝐈𝐒𝐓𝐎𝐑𝐈𝐀 𝐔𝐊𝐑𝐈𝐒𝐓𝐎 𝐔𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐓𝐔𝐌𝐈𝐊𝐀 𝐊𝐔𝐃𝐔𝐌𝐀𝐙𝐀 𝐇𝐀𝐑𝐀𝐊𝐀𝐓𝐈 𝐙𝐀 𝐔𝐊𝐎𝐌𝐁𝐎𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀 𝐓𝐀𝐍𝐆𝐔 𝐔𝐊𝐎𝐋𝐎𝐍𝐈.
Mambo muhimu unayotakiwa kujua kabla ya kusoma;
🔴 Vita vya Maji Maji 1905-07, Wakristo walifurahia kushindwa kwa wangoni wa Songea kwa sababu wale walikuwa Waislamu. Ukisoma shairi hili, utaona walikuwa upande gani wakati wa vita.
🔴 Wakristo, wakati vita vya Abushiri 1888–1889 dhidi ya Mjerumani, walifurahia kunyongwa kwa Abushiri Pangani. Ukisoma shairi hili utaona sifa anazopewa Mjerumani kwa kumuua Bushiri.
————————
Shairi la Mchungaji wa Kwanza Tanzania (Tanganyika) mwenye asili ya Afrika kwa Mkoloni Mtawala wa Kijerumani Kaiser kwa ajili ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Mchungaji wa kwanza Tanzania anaitwa Jacob Ng’ombe, yeye alilelewa na kufadhiliwa kila kitu na wajerumani.
Kwenye shairi hili, unaona vile Wakristo walivyokuwa karibu sana na wanufaika wakubwa wa Ukoloni wakati wa Mjerumani. Ili uamini hilo, nitafutie resistance/mgomo wowote uliofanywa na wakristo dhidi ya ukoloni.
Jacob Ng’ombe kwenye shairi lake anahimiza wazazi na viongozi wa dini kuhimiza utii kwa wakoloni wa Kijerumani.
Shairi linasema “Lazima umwogope Kaisari, usimkosee”… na pia “Umheshimu sana na kodi umeletee”..
Mbaya zaidi, kwenye shairi hili, unagundua kwamba hata hata Vita ya Maji Maji ilikuwa vita vya kidini.
Kuna sehemu shairi linasema, “Tangu Bushiri na Majimaji akusubutuye ni nani.”? Yaani maana yake, Walutheri walifurahi wajerumani walivyomuua Abushiri na Kunyonga maelfu ya wangoni kule Songea kwenye vita ya Maji Maji 1905 - 1907.
Halafu Jacob Ngombe kwenye shairi lake kuna sehemu nyingine anasema tena, “Wakristo mwombeeni maisha [Kaisari] , aish zaidi”.. yaani maana yake, Mkoloni aendelee kutawala zaidi halafu, kwanini Wakristo tu ndio wamwombee?? Ndio utajua namna gani Wakristo walikuwa wanafaika wakubwa wa Ukoloni.
Shairi Hili lilipostiwa kwenye Gazeti la Mkoloni ‘Pwani na Bara, Vol. 02, 01, Januari 1911, p. 1’
Ukitaka kuona shairi hili, kasome Kitanu cha “The Media History of Tanzania” by Martin Sturmer, Uk. 39.
This what tier 3 journalists do these days.. collect garbage, label them facts and make a a garbage story out of it. I would have liked to engage you in a civilized and fact based discussion but again, I don’t rate you enough for that.
Hadi kufikia hatua hii, bado wanasema eti hawakustahili kupigwa njugu. Yani ilitakiwa kufikia kiwango gani cha uhalifu ndio mpigwe karanga? Jeshi la Polisi limepewa silaha kwa matumizi yale, na kongole limefanya kazi yake kulinda amani na ustawi wa taifa letu.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye mazungumzo na Mheshimiwa Dkt. Speciosa Kazibwe Wandira, Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Uganda, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 20 Septemba, 2026.
CDF kutokwenda Mahakamani sio kigezo ya kushindwa kuthibitishwa ya kwamba Lissu ni Mhaini, bado Lissu anaweza kukutwa na hatia ya Uhaini bila hata CDF, IGP na DPP kumtolea ushahidi.
Halafu, unachotakiwa kujua ni kwamba, watu wote hao wana haki ya kukubali au kukataa kutoa ushahidi. Sasa mtu akitumia haki yake ya kukataa kusimama kukutetea, kwanini useme amekimbia na hajakataa?
Unajiita CDF harafu mnasema serikali yenu imefanyiwa uhaini na Tundu Lissu ni muhain lakini chaajb unashindwa kwenda kuthibitidha, wala TL hakusema umtetete lakin ilitakiwa ukathibitishe ukweli wa kwamba TL ni muhain au sio muhain ili kuisaidia mahakama sasa kwann unaogopa?!
🇹🇿 Tanzania yaongeza kasi ya utekelezaji wa Dira 2050 kupitia e-Delivery.
e-Delivery ni mfumo wa kidigitali wa Tanzania ulioanza kutumika Julai 1, 2026 wenye lengo la kusimamia, kufuatilia na kutathmini miradi ya maendeleo.
Hadi Septemba 2026, miradi 150 imesajiliwa, kati ya lengo la zaidi ya miradi 500.
Hadi leo sijaelewa dhamira ya haya yote kutoka kwa TEC. Hii yote ni kwa sababu Rais sio mtu wa miongoni mwao, si mtu wanayeweza kumwendesha wakitaka.
Serikali ya Rais Samia imewajibika vya kutosha kuhusu machafuko ya October 29, imeunda Tume Mbili kuchunguza matukio yote ya Oct. 29, na pia itachukua hatua stahiki baada ya uchunguzi.
Kitima, usiwe mnafiki, labda kwa sababu TEC na kanisa lako ni sehemu ya machafuko ya Oct. 29. Mbona hutujaona ukilaani vitendo cha uchomaji wa vituo vya mafuta, vipi kuhusu watu waliokatwa vidole wakitoka kutekeleza wajibu wao wa kikatiba, vipi kuhusu maduka na mali za watu zilizoibwa na kuwatia watu katika dimbwi la umasikini.
Kitima unataka serikali ifanye nini ujue kweli imewajibika?
Maria relentlessly spreads misinformation, seemingly determined to portray Tanzania in the worst possible light.
No cattle were unlawfully confiscated. Game rangers seized livestock found encroaching on protected areas, and the herds were often returned to their owners after the legally prescribed fines were paid.
📍 Nzega na Igunga, Tabora
Ujenzi wa Skimu za Umwagiliaji za Ludugumo na Mwamapuli unaendelea.
Miradi hiyo inalenga kuongeza eneo la kilimo kutoka hekta 173 hadi zaidi ya 4,000 na kunufaisha wakulima zaidi ya 5,000.
Utekelezaji wake utawezesha kilimo cha mwaka mzima, kuongeza uzalishaji wa chakula na kuchochea uchumi wa wakulima.
📍 Nzega na Igunga, Tabora
Ujenzi wa Skimu za Umwagiliaji za Ludugumo na Mwamapuli unaendelea.
Miradi hiyo inalenga kuongeza eneo la kilimo kutoka hekta 173 hadi zaidi ya 4,000 na kunufaisha wakulima zaidi ya 5,000.
Utekelezaji wake utawezesha kilimo cha mwaka mzima, kuongeza uzalishaji wa chakula na kuchochea uchumi wa wakulima.
Nimesikiliza maoni ya Mwenyekiti wa BAVICHA kuhusu utatuzi wa changamoto ya ajira nchini endapo chama chake kitapata ridhaa ya wananchi. Kwakweli kwa majibu yake chama chao kina safari ndefu sana.
Hawazitaki tume zinazoundwa kwenye nchi zao wanadai eti sio huru na hazina uhalali.
Wanachotaka wao, ni tume za nje ya nchi, kutoka kwenye zile nchi zinazofadhili harakati zao na zile nchi zinazowapa hifadhi wakishafanya uhalifu kwenye nchi zao, eti hao ndio watatenda haki.
Waambieni, Tanzania ni nchi yenye mamlaka kamili, haimuliwi na mambo yake na Taifa lolote chini ya jua.
Tunajua kwanini mnaipinga Tume ya Jaji Lila, mmeshaanza kupata fununu za matokeo yake, kila aliyeshiriki uratibu, ufadhili na machafuko ya Oct. 29, atapata stahiki yake.
Trump, Netanyahu na NATO kwa ujumla wameua watu zaidi ya 80,000 Gaza tangu 2024, wengi wakiwa Raia watoto na wanawake. Unataka kusema Hamas wanakaa katika hospitali, shule na nyumba za raia?
Yani una una justify vifo vya maelfu ya watu kwa sababu tu eti Trump anawalenga Hamas. Sasa hao Hamas hadi leo bado wapo.