Sept 8, 2018, saa 2 usiku Mwanaume anapigwa risร si nyingi akiwa garini mwake na kuuawa na watu wasiojulikana, naam ni Mwanaume Mohammed Kirumira.
Mwanaharakati na Rafiki wa wanahabari .Video akiwasaidia wanahabari kuingia mahakamani baada ya polisi kuwazuia R.I.P Champ .
Meneja wa zamani wa Real Madrid, Zinedine Zidane amekubali kuwa Kocha Mkuu mpya wa timu ya Taifa ya Ufaransa akitarajiwa kuchukua mikoba ya Didier Deschamps aliyedumu kwenye nafasi hiyo kwa takribani miaka 14.
Shirikisho la Soka Nchini Ufaransa (FFF) linatarajiwa kumtangaza rasmi kocha huyo wiki ijayo huku vyanzo vikieleza kuwa mshindi huyo mara tatu mfululizo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kama kocha ndiye pendekezo la TFF la kurithi wa nafasi hiyo.
Zidane ambaye aliiongoza Real Madrid kutwaa ubingwa wa Ulaya mara tatu mfululizo miaka ya 2016, 2017 na 2018 sambamba makombe mawili ya Laliga mwaka 2017 na 2020 amekuwa nje ya kazi ya ukocha tangu alipoondoka Real Madrid mwaka 2021.
#KitengeSports