1.Wapende familia yako na watunze
2. Ukiamua kumpenda mtu we mpende tu bila sababu na sio lazima na yeye akupende
3. Mke ana option ya kujenga utajiri na mume au kuwa beneficiary wa utajiri
4. Kufanikiwa ni mchakato
5. Hakikisha unapambania ndoto zako