@BarakaMaviatu@XeichaY@NjiwaFLow Dunia n flat make nliwah mulza bro wang ambae ni rubani akanambia kuna vitu ni siri huku duniani na maisha tunayoishi ni mfumo🙃🙃 tuliowekewa kisayansi ili new world order itimie😥😥
@iostr3am@MbandeShebby @Sukayotz Sa si balaa yani mtu anawaza kupigiwa akat ye mwenyewe hajawai kwenda dukan kunnua nguo akiwa uchi so ukishaona huwa tunaenda kunnua nguo tukiwa tumevaa nguo tayar utajua madem n kawaida kulombewa😆😆😆😆 money first 💯💯
Nikwambie tu ukweli mana unaezakua hujui🤔 so ukiwa na elf 5 tumia kwenda mbele. Ikibaki elf 2 endelea kutumia. Ikibaki elf 1 weka poz make unaeza ukapagawa😂😂😂