Give a man free sex, entertainment, and comfort, and he’ll forget his goals.
Give him pain and heartbreak, and he’ll feel like conquering the world.
Dear bro, hard times are a blessing, not a curse.
To reduce your stress, try not to have strong and loud opinions about everything.
Smart people are selectively ignorant about most things, and focused on some things.
Hakuna mtu mwingine ana kazi ya kufuatilia kuona kama unautumia uwezo wako wote uliojaliwa na mwenyezi Mungu. Huo ni wajibu wako wewe mwenyewe ukishirikiana na wewe mwenyewe na itabaki kuwa hivyo. Kukumbuka hilo mapema ndo’ kujitambua.
Maisha huanza kuchukua mwelekeo mpya ukigundua ukweli kuwa huna mwingine wa kumlaumu isipokuwa namna yako ya kufikiri, misimamo usiyotaka kuipitia upya, mazoea uliyojijengea, hisia unazozipa nafasi, namna unavyojichukulia, namna unavyowachukulia watu, maamuzi madogo madogo unayofanya kila siku na namna unavyojifunza kwa makosa yako mwenyewe na uwezo wako wa kubadilika.
Kwenye utafutaji wa maisha kuna Kitu kinaitwa JUHUDI, BAHATI na WAKATI hivi vyote vinakwenda pamoja, ila kwa bahati mbaya unaweza ukavikosa hadi unaingia kaburini au kufa havijawahi kukupata. Maisha yamekuwa tofauti na watu wako Busy na mambo yao. Jifunze kujipambania mwenyewe•
Nobody is talking about this.
The children born today will never know a world without autonomous AI.
They won’t Google things. They’ll ask an agent.
They won’t learn to code. They’ll learn to direct.
They won’t write resumes. There may not be jobs to apply to.
We’re raising the first generation of humans who will grow up alongside minds that aren’t human.
And we’re parenting them with a 1995 playbook.
The most important skill you can teach your kids right now isn’t math or coding.
It’s how to think. How to discern. How to stay human when everything around them isn’t.