@HKigwangalla@SuluhuSamia Kitu uniletee, unishawishi nikutumie afu nikipata madhara ama kikinidhuru nisikuulize? Na unajitoa kwa lolote litakalotokea, Tena na niweke na wino na sain yangu kabisa.😀😀
@salim_alkhasas Anatapatapa Sana kutunga hadithi, ripoti zikitoka za waangalizi wa kimataifa napo atalalama. Huyu inabidi walomwajili mwamlipe kwa dola za @Zimbabwe na pesa za @Sudan kusin! Hata lisaa hatamaliza
@salim_alkhasas Kipigo cha mwaka huu sidhan kama cdm watakisahau🤣. Nlienda kupiga kura mida ya saa 9 huku makuburi nkakutana na mgombe udiwan, nkamwambia tupige selfie akakataa😀
@kitilam Baada ya ushind wetu, ntakukumbusha Tena umuhinu wa kuitumia mabibo hostel complex hasa kwa sie udsm alumni, maana kwa miaka sasa frem za biashara zipo wazi bei ya pango ni kubwa mno! Watu wanakimbia pale.
@mkandamizaji ✔️ hiv Mwaka huu hawagawi karam kweny msital wa kura, eti hawana iman na karam za tume! Ukiitiki kwa chadema ukaikunja karatas inahania CCM. 🤣🤣 *IMANI ZINGINE MNAZIJUA NYIE TU*🤗🤗🤣. yaan ukijijua huwaz mshinda mshinda wako, utabun hata kanuni ya rivas gia ya BODABODA🤗
@salim_alkhasas Ukiletewa mshindan anayekumudu hayo ndo moja ya matokeo yake, Ni kuhaha tu. Alikuwa hajui DUDE likiamshwa huwa linaamkaje 🤣😂😅. sasa anahaha kwa Kiki ya KURA BUKU TEN. Bora ya @MayorUbungo muda huu anazunguka na BODABODA kila kituo anakuta watu tuliii. Anakosa asingizie nn
@HildaNewton21@halimamdee Hizo kura BUKU KUMI mlitumia muda gan kuzihesabu?😅 zilikuwa kwenye kenta ana burungutu? Tatizo mnatapatapa sana! Kuwen wawazi tu fujo hazitawaletea ushindi 😁.