Kama vile mazoezi yanavyoondoa uchafu na sumu mwilini, ndivyo na bidhaa zetu za usafi zinavyoondoa madoa na uchafu wote nyumbani kwako ,Nipo na nguvu ya delivery naombeni zenu Wakuu
📍Arusha
📞0673691253
✅delivery free
@BingwaIK niliongea na classmate wake huyo jamaa, anasema kwamba jamaa alikataa mimba mpaka pale mwanamke alipozaa, mtoto alivyokuwa vile jamaa akakubali kulea, sasa wanasema alikubali kulea kwa sababu chances za mtoto kupona zilikuwa hafifu sana na aliona ni opportunity. wanasema hivo
Ni zaidi ya wiki moja, @fbuyobe anashikiliwa katika kituo cha Polisi Chang’ombe jambo ambalo ni kinyume na sheria za nchi yetu.
@tanpol hawataki kumpeleka Mahakamani wala kumwachia.
Huu uonevu lazima ufike mwisho, hatuwezi kuishi kama watumwa ndani ya nchi yetu.
#FreeFortunatusBuyobe
GIRISHONI AKILI PIRITON
Waandishi mmewadhibiti kwa BODI YA ITHIBATI. Wanaojielewa mnawanyima PRESS ACCESS.
Mmewatumia VITISHO, MNAWAPA SCRIPTS za KUSEMA!
MNASHINIKIZA MEDIA OWNERS juu ya Maudhui, baadhi MNAWAHONGA PESA. Wengine mnawapa KESI ZA UHAINI na UCHOCHEZI. Alafu unajiongelesha kama kuna FREEDOM OF PRESS ?!
Umeita PRESS YA MCHONGO; hujaalika Media za Kimataifa? BBC, DW, Al Jazeera, CNN? vipi THE CHANZO, JAMII FORUM?
Waandishi kwenye Press wanaogopa hata KUULIZA MASWALI YA MAANA (ALAFU NYIE WAANDISHI UCHWARA SITOWATETEA TENA KWA KUENDELEA KUTUMIKA KINGESE. Ndio Maswali gani hayo mnauliza? ) 😡
JOURNALISM ya ukweli inaripoti News “WITHOUT FEAR OF FAVOR”! Nyie mnawajengea Waandishi fear, na mna approve News only zikiwa-favor. Eti “toa habari Kimkakati Kulinda nchi”. KULINDA NCHI AU WANASIASA MLIOPORA MADARAKA Kinyume na Utaratibu wa KIDEMOKRASIA?
“If you want to hear good news about your country, go to the Tourism Website. My job is to cover Africa accurately, not positively” - Larry Madowo
Yaani GIRISHONI umeshindwa ku-deny unequivocally allegations za BBC na CNN reports, unasema “THEY ARE BIASED” na sio “THEY ARE NOT TRUE”
GUESS WHAT, they are biased ila ni za Point of View of VICTIMS mnao endelea kuwanyanyasa, kuwakatia Internet, kuwatishia wasisambaze clips, kuwaua na wengine kuwaweka jela. Mmegoma ku-side na Victims acha kina Larry wafanye!
Kama hamkutaka Biased Exposé, na nyie mngemtumia LARRY clips za upande wenu ili apate a better VANTAGE POINT.
AKIL NDOGO kama Piriton, Press imeishia kuwa-expose bila kujua: Unalilia Haki, Uwazi, Uwajibikaji (How preposterous is that). Umeishia kukiri Videos ni za Watu na sio AI, Umeishia ku-acknowledge Mauaji mliyokuwa mnakwepa. Umedai mmesikitika, wakati ndio mmeyafanya and proved you’re DISINGENUOUS! Kuongelea Utalii badala ya Uhai, inadhihirisha HAMNA UTU. Kuongelea SGR ina maana hamjajifunza na ni delusional (yote yalisemwa na bado hawakupiga kura). Unasema CNN WAPOTOSHAJI, je nyie mliosema Vurugu, Mara Sio Watanzania, Mara AI, Mara Wahaini, Mara Vifo. Nani Mpotoshaji hapo? GIRISHONI UNAWAAIBISHA WAHEHE
HAKIKA DAMU ZA MASHUJAA WETU ZIMEANZA KUONGEA
The Leader