Kuna sehemu nimeshawahi kwenda yani wanakatabia wakiona unajimudu kidogo lazima wakushakizie msala tu unakuta Mzazi au mlezi wa mtoto wa kike anamlengesha binti yake kwako wew ukiendekeza nyege tu inakuwa imekula kwako lazima ujae kwenye mfumo wanavizia siku umeita manzi ukabonye then huyo manzi anakucholesha ile ukizame nae geto tu utasikia watu wanabisha hodi wakiwa na Mwenyekiti hapo mambo ni mawili uoe au ulipe faini watakayo taka wao😬🙌
Kuna Watoto wamezaliwa 2000's lakini wamebeba mimba nyingi kuzidi mama zao na wamefanya abortion nyingi kuliko umri wao
Afu ni walevi kuliko Baba zao, ikifika 2030's ndio watakesha kwa mitume na manabii
Acheni watumishi Hawa waendelee kupiga pesa
Unapo muamini mtu kikamilifu bila shaka utapata matokeo ya aina mbili,kwanza utapata mtu wa kudumu naye maisha yako yote au utapata somo la maisha yako yote..
#Elimika_weekend✍🏽
🚨 UEFA announce they have opened an investigation into celebrations of Rüdiger, Ceballos, Mbappé and Vinicius Jr after the Real Madrid vs Atlético game at the Metropolitano.