@Mwatexi@Sonko_tips Hapo ndio wanapofeli. Na kuna siku nilikua nawasiliana nao, nikaanza kutumia maneno makali, nikapigwa ONYO nikiendelea wanafunga account😀. Sasa nadhani Sonko kabananishwa pia hapo
@buffaIIo@gerino_andrew@Sonko_tips Kuzuia kwao hua wanatoa njia za kuweka hela na kutoa tu, mobile payments, kama walivyofanyaga wa 888STARZ na MEGAPARI