Mama alikuja na โRโ nne. Moja ya โRโ hizo ni REFORMS, yaani mabadiliko.Lissu akamuunga mkono Mama kwa kusema โBila Mabadiliko, Hakuna UchaguziโNRNE Akakamatwa kwa uhaini wakati aliunga mkono falsafa ya 4R! Mbadilishie mashtaka mseme alikosea kumuunga mkono Mama!
- Ask. Bagonza
@ArseneFanuel@og_outfits Swala watoto kama Kinga ya kutoachana Hilo hua linawafanya wanaume wengi kwenye ndoa zao kuishi pasipo furaha/ kwasababu Hana option ya kuamua. Ila huyu sijaona swala la kuzaliana wao. Kumdharau Mme na kushindwa kufanya kile anachoelekeza ni sa7bu kubwa ya kumuacha huyo mke
@ArseneFanuel@og_outfits Still nafasi anayo ya kuchukua uamuzi dhidi yake. Hamstahili mwanamke wa aina hiyo Tena mwenye dharau ya kumuambia kua ana Gubu kama escape route ya kukabiliana na ukweli (ni mchafu). Hupaswi kufungwa na uchaguzi uliofanya mwenyewe Kwa ajili ya destiny Yako. Aachane.
@og_outfits Hatua mliofikia ni mbaya sana (kuto heshimiana) mpaka kuambiwa na mkeo kabisa kua una Gubu !! Kurudisha upendo baina yenu ni ngumu. Huyo hazimtoshi. Maisha ni uchaguzi, na haipaswi kufungwa na uchaguzi uliofanya mwenyewe Kwa ajili ya hatima yako. Take a step !
โUtawala bora si kuhusu nani anashika madaraka. Utawala bora ni kuhakikisha kwamba madaraka yanadhibitiwa na sheria, yanawajibika kwa wananchi, na yanatumika kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho.โ