Kwako Mama @SuluhuSamia !
Father @dr_mpango!
Uncle @KassimMajaliwa_ ! Salamu ziwafikie hapo mlipo.
Ni hivi kunae huu mradi wa Umeme Grid ya Taifa kutoka Nyakanazi to Kigoma kilovoltage 400. Nimebahatika kutembelea maeneo tofauti tofauti ya huu mradi hasa upande wa Kasulu๐๐
Natoa angalizo tangu jana usiku mpaka leo asubuhi nimetagiwa sehemu kibao za spana na utani .... wote mashahidi ( sijatukana , sijaita mtu jina la ovyo wala sijajibu kwa dhaharau ) . So ikija zamu yenu naomba behave , msitokwe damu wala kujaa upepo . Same energy au sio ๐๐๐
๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐! ๐น๐ฟ๐ฆ
Simba SC confirmed that Tanzanite Tickets for their ๐๐๐ซ๐ข๐๐๐ง ๐๐๐ซ๐๐ฒ quarterfinal game in the CAF Champions League against Al Ahly are ๐ฌ๐จ๐ฅ๐ ๐จ๐ฎ๐ญ! ๐จ
Showdown on March 29! ๐ฅ
#cafclwithmicky#nguvumoja#yallayaahly
Sasa siagizi tena China, mahitaji yangu yote ya bidhaa za hotel yangu (Amenities & Toiletries) nayapata kutoka Neysmart Co. Ltd yenye HQ zake ArushaโฆKama wewe ni Mmiliki au Meneja wa hotel yoyote ya hadhi yoyote Tanzania hii, basi wasiliana na kwa bidhaa bora watakutumia popote!
Katika vipigo sita vikubwa Afrika, Simba tumetoa vipigo viwili
Lakini cha kufurahisha zaidi ni Nyuma Mwiko kuwa miongoni mwa timu zilizopokea vipigo vikubwa zaidi Afrika
"Kufuzu kwa Yanga SC katika hatua ya robo fainali wa kushukuriwa ni Rais wa heshima wa Simba ni Mohammed Dewji na wa pili ni Simba SC.
Wakati Mo anakuja kuwekeza Simba alisema vision yake ni kushinda ubingwa wa Afrika na baada ya hapo tukaanza mchakato wa kutawala soka la Afrika.
Wakati Mohammed Dewji anatengeneza dira ya kutawala soka la Afrika vilabu vingine vilikuwa vimelala usingizi wa pono, vilikuwa haviwazi kushindana Afrika na kusumbua.
Baada ya miaka mitano ndio na wengine wameamka na wenyewe kutaka kuanza kufanya vizuri. Kama Simba SC na Mohammed Dewji tungeendelea kulala basi hadi sasa hakuna klabu yoyote Tanzania ingekuwa na hasira, malengo ya kufanya vizuri kwenye michuano ya Afrika ndio maana nasema robo fainali yao ya kwanza wa kushukuriwa ni Mohammed Dewji ndio aliwaamsha watu kutoka kwenye usingizi. Huu ndio ukweli ambao utadumu milele."- Ahmed Ally. #WenyeNchi #NguvuMoja
BUNGE liliongozwa na Samwel Sitta labda ndilo Bunge lilokuwa bora zaidi kutokea katika historia changa ya safari ya demokrasia ya nchi yetu. Mijadala mikali. Hoja nzito. Uhuru mpana.