@sundey_fx I'm Tanzanian forex trader but you have mental problems may be trauma or greed
Vijana tusome hizi part zitatusaidia ku'overcome some problems
1. Economics
2. Psychology
3. Technology
4. Politics
5. Science
6. Philosophy
Fact of life....
Kwenye maisha yako jiwekee mipaka na usiwe tayari kuivunja kwa tamaa ama njaa,lakini uwe tayari kumpoteza yeyote atakayeivuka mipaka yako bila kujali uhusiano wake kwako...โ๐ฝ
Kama Una date for commitment na una mwanamke ambae haongezi value yoyote kwenye maisha yako Zaid ya sex AVOID THAT WOMAN
Value haimaanishi Elimu,Pesa,Kazi
Bali value ninayozungumzia hapa ni utulivu, loyalty, respect, akili ya maisha,yaani mwanamke anaekufanya uwe na maisha Bora