@hadjiabdul48@MadarakaNyerere Katiba mpya kenya ilikuwa 2010? Nyerere alifariki 1999 tulishindwa vipi kuwa na katiba mpya miaka yote, kama kweli Nyerere alikuwa kikwazo?
@Mika_Obadia@CandleXtz Sasa kama wewe umekula bikra 5(kama ni kweli) unadhani mtu mwenye msimamo wa kuoa bikra atawakuta hao mademu uliowapitia wana bikra na wanaume wengine 5 wakapita na mabikra 5 kila mmoja huoni hapo idadi ya mabikra inapungua?
@Mika_Obadia@CandleXtz We unadhani kuna mwanaume hapendi kuoa bikra? Shida hao bikra huwezi kuwapata kwenye kizazi hiki cha Gen Z. nyie wadogo zangu mkipata mwenye bikra ya mkundu mpokee tu 🤣🤣🤣
@HallahKispoti@chicharitojr9 Sasa matusi ya nini? Mbona unapanic?🤣🤣🤣 Nimekuuliza swali raisi tu kanuni ipo au haipo na hilo ndilo lilikuwa swali langu la awali kwa mtoa hoja. Wewe umekuja na hoja nyingine mpya ambayo haihusiani na nilichomuuliza mtoa hoja are you serious?
@HallahKispoti@chicharitojr9 Kwa hiyo kama nimekuelewa vizuri unamaanisha kuna kanuni za mashindano ya FIFA zinazosema kama timu ikifululiza kupewa kadi nyekundu mechi tatu itabidi ikatwe pointi 3 na kama ni kweli unaweza kunionesha ushahidi wa kanuni hizo.
@HallahKispoti@chicharitojr9 Sawa.Sasa niambie kanuni gani za ligi kuu na TFF zinasema timu ikipewa kadi nyekundu mechi tatu mfululizo inatakiwa kukatwa pointi tatu.