@MariaSTsehai Hamna Cha kumfanya na ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya chadema, na vikao vya chadema ataanza kuingia, akitoka anampasia pande kijana wake Yericko.
@CatherineRuge Shida Iko wapi?? Walitaka muondoke, sawa mlishauri lkn ushauri wenu unafanyiwa kazi Sasa hivi mnachoumia ni nn?? Kwani umekatazwa kurudi kundini?? Au uko umeshapima huwezi kushida huo ubunge??