"Nyota wa familia msimpige wala kumroga wala kumsema amewaroga ili msifanikiwe kwa maana mkifanya hivyo mnajiangamiza wenyewe bali msaidieni na mzidi kumuombea maana akifanikiwa mmefanikiwa nyote". - Pastor Dominic, Nabii Kiboko ya Wachawi.
Kuwa na marafiki wanaokuelewa hata usipojieleza, kuwa na marafiki watakaokushika mkono siku ukiteleza, kuwa na marafiki ambao ukipata shida wanakuuliza sasa tunafanyaje na sio sasa utafanyaje?.
Asemacho Katibu Mkuu CCM Ndg. Chongolo ni sahihi sana, kuwa suala la bandari ni la CCM kwa sababu Bodi ya Serikali ni Chama tawala ambacho kwa sasa ni CCM na Baraza la Mawaziri ni Menenjimenti ya Serikali.