Unganeni na mimi wapendwa kumshukuru Mungu kwa kutimiza miaka 10 ya maisha ya kitawa. Siku kama ya leo mwaka 2015 niliweka Nadhiri ya Utii, Usafi wa Moyo na Ufukara huko Magamba Tanga na kuwa Mmisionary wa Shirika la Roho Mtakatifu. Niombeeni nizidi kudumu kiaminifu ktk wito huu.