@Isayadicksonjr Ndio Mana inaitwa high risk investimate. Both chance + or -. Matter of analyze and play your market intelligently. Akili za kuambiwa changanya na zako.
Richard Rugemalira Balile upeo wake ni mkubwa na maswali yake yalikuwa magumu sana, kama unataka kujua kwamba maswali yake yalikuwa magumu fikiria ungekuwa unaulizwa wewe ungeyapatia majibu? Tatizo ni kakutana na mtu mwenye upeo mkubwa zaidi sana kwenye mambo hayo akafichwa vibaya mno.
@Roma_Mkatoliki Hapo kata bilion 1105 ya upigaji, upembuzi yakinifu, bajeti itaongezeka kwa sabb ya ongezeko la thaman.... Baada ya ulaji watatajwa waone aibuuu....
DEAR African men, guard your heart against cheap theology. Gently teach your wife to walk in the ways of the LORD. Love your children and show them how to walk carefully in the world full of luring prosperity preachers. Teach them to look at you even as they choose to follow the LORD. Set a godly example for your home.
Have a happy Easter, kings.
Idol, sina shaka kuhusu ustahimilivu wako. Na wiki hii wanakuongezea msalaba mwingine. Ombi langu kwa Mungu wetu ni akupe saburi. Usizimie roho maana asubuhi yaja. Songa mbele uuone ukuu wake. Na mambo atakayokutendea, wewe na Taifa lake. Solidarity. Kutoka 14:14🙏🏽
@BlessdGrooveKid Swala Africa-Tanzania unaishi chini ya $ 1, kuafford kiasi hicho ni ngumu, hii inaakisi uchumi halisi wa mtanzania, hlf tunadanganywa tupo uchumi wa kati.
Lissu anapambania taifa litakaloongozwa kwa misingi ya haki, ukweli, uwazi, uwajibikaji na utu. Mimi napenda kuishi katika taifa kama hilo. Hivyo Lissu anapambania taifa la ndoto zangu. #IAMTunduLissu Anayoyapitia sasa ni kwa ajili yangu na wote wenye mawazo kama yangu. 🫡