Maridhiano ya kisiasa ni muhimu ila bila vyama vya upinzani kuelewa kwamba havina haki zaidi kushinda CCM ambayo nayo ni chama cha siasa kina haki na masilahi yake. Sidhani kama kutafanikwia kitu. Maridhiano ni "loose & gain" so kila upande usishupaze shingo kwa kutaka yote.
Waziri wa Utalii akiwa na jicho la tatu akatambua jambo moja kuwa utalii wa ndani unakuzwa kwa kutengeneza misimu ya matukio Kili Marathon, Ndondo Cup, Kula Vumbi Rally, Vitasa na msimu wa Desemba kwa Wachaga. Just kuirasimisha na kuziongezea hadhi ya urasmi.
Strong partnerships are essential to move the needle on global education π€
GPE Youth Leader Suni Bokobo joined GPE Deputy CEO Charles North on his visit to #Spain πͺπΈ and explains why investments in education matter beyond the classroom.
#FundEducation
Ziara ya Kikazi ya Mhe. Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoa wa Simiyu na Mkoa wa Mwanza.
Tarehe 15 - 21 Juni 2025
Usipange Kukosa hii Ziara Nzito sana na ya Kimkakati!!
Congratulations to Professor Mohamed Yakub Janabi for being elected the World Health Organization Regional Director for Africa, for the term 2025-2030.
With decades of expertise and experience in the health sector, I have every confidence that you have all that it takes to serve our continent, and steer us all to greater heights.
The United Republic of Tanzania is thankful to every member state that believed in your skills, experience and vision for our continent.
Professor, you have my warmest wishes for a successful tenure.
@Faheem_uh@LitmapsApp Thanks so much for your service Professor, May God reward you in return. In African universities it may take a year for a PhD student to identify research gaps and construct objectives. Kindly touch this angle too to help many of us.
Ndugu KM @MsigwaGerson , ikukupendeza tafuteni eneo hapo karibia na Mtumba Mtumba hapo mjenge public sports parks. Vita tufaa sana Leo na Kesho. Itakuwa namna njema pia ya kuwatoa watu wa mjini kwenda kuvuta hewa ya oxygen.
@herrykuwe@420Cousin Tangazeni vita yenu wazi kwamba sisi tunapambana na JMakamba Ili asije akawa Rais 2030 huko au mwezi wa 10 hapo asije mara pa Waziri Mkuu. Tutawaachia vita yenu muendeleeπ ila kumtukana Mbunge wa CCM mitandaoni ni sawa na kuitukana CCM vile vile maana hela hotoi mfukoni kwake.
@herrykuwe@420Cousin Huyo jamaa mnamchafua Kwa sababu ya 2030, na mnajitahidi kumchonganisha na bi Mkubwa ili amtenge. Ndio maana hata Ile " Mwanangu January njoo hapa" kule Bumbuli hamkupenda kabisaππ. Majimbo kibao Nchi hii yamechakaa kushinda Bumbuli.