@MwananchiNews Umwambie wewe na nani?? Kwani wewe mwenyewe huwezi kumwambia!??? Kwani kwenye SUKI ulitushirikisha au uliamua wewe na mtukufu wenu???๐๐
@ReganTesha_ Nipo na mteja hapa ni mmama amevaa miwani na gauni la kitenge anataka kutuma pesa ila ashamaliza dakika 7 hapa story nyingi sana, ngoja nione mwisho wake๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Tanzania kama nchi inapitia changamoto ya umeme na hii inasababishwa na ukame katika vyanzo vya maji.Kwani hapana namna maji ya bahari kuu yakatumika kuzalisha umeme??