Mimi sina chama ila nipo kwaajili ya kusema ukweli na nitafichua hata yalio jificha siogopi mtu ila naheshimu tu mamlaka NARUDIA TENA - Mimi Sina Chama
Tulipokuwa tunawaambia Meko ni tapeli na takataka hamkuwa mnasikia.. Sasa msikilize haya na mwende chooni mliiieee mkimaliza mje barazani tucheze bao.. Yaani wametoka kwenye kampeni hata miezi 3 haijaisha sikiliza kauli zao 🦧 hawa.
Mazingira mazuri huku mna frustrate investors?
@kigogo2014@ChademaTz Watanzania sio wajinga saivi
Usidhani ule uongo mliokuwa mkiutumia zamani kwenye kuwadanganya WATANZANIA utafanikiwa ....NEVER ! Katafuteni kazi ya kufanya
@halimamdee@jgwajima 😂😂😂 sawa nimekuelewa vizuri sana inaonekana umesha anza kuelewa nini @jgwajima anafanya. Pole bibi kidude nakuonea huruma siku chache zijazo kitaeleweka tu
@kigogo2014 Hakuna watakacho ambulia @ChademaTz@TunduALissu , hata wangejaza dunia lakini issue ya kupiga kura ni siri ya mtu..
Ngoja uone tutakavyo waibisha mwaka huu @ChademaTz hata wangesema waungane vyama vyote haitosaidia, Kazi aliyoifanya mhe. @MagufuliJP inajitangaza yenyewe.
@WiliamAndason Kama utaweza kumlinganisha mama yako mzazi na malaya wanaojiuza mtaani hapo ndipo utaweza sasa kumlinganisha @jgwajima na huyo mpuuzi.
Hata jina lake naona kinyaa kulitaja.... Aliwahi kuniambia niende kwake kumbe anataka Tusagane.
@BenMembe Ina maana hujamsikia mwenyekiti wako au???? Kwani katiba ya chama chenu inasemaje kuhusu kauli ya mwenyekiti? Acheni ujinga mnataka tuwape nafasi za uongozi wakati nyie wenyewe hamuwezi kujiongoza #MagufuriBabaLao