@safarihamidpro@SirHamidAbdul@KigumeR@muya_bin Hahahaha hii imenikumbusha siku mnajiandqa na pepa afu uwe mwishoni unapelekwa kwa mgonjwa anakwambia amechoka anakupa history ya uongo ile unaanza tu am presemrimg to you with chief complain of chief anakwambia umetoka na mkeka wako ntumabni et
Kada yenu ina Changamoto ya job description. Muuguzi wa certificate na muuguzi wa masters ya midwife wapo kwenye roster moja wanafanya kazi zile zile. Wekeni mipaka. serikali inapenda cheap labor so Nyie mnakua replaced na hao wadogo zenu. Sisi Huwez kureplace MD ukaweka CO. Etc
@kalegamyeh sema watu wanataka tu midahalo mtandaoni, ukweli daktari ana majukumu mengi linapokuja swala la matibabu ya mgonjwa, bila team work hatoboi. lab and pharmacist hawawezi elewa hili ila doctors and nurses ndio Wana mu attend mgonjwa for almost 90%.
🚨Ndio Jana hiyo tuko Car Wash.
.
Tunagonga gahawa tunapiga story mbili tatu.
.
Mada zetu ni magari kwenda mbele, mpira kidogo na skirt kwa mbali.
.
Kuna mwamba akasema hapa ipo Outlander pale Subaru niende wapi.
.
Point zikaanza kushushwa, naenda kushare na wewe hizo point sasa.