@rollymsouth Aje huyu wa kuitwa ODO aka @ummymwalimu atuambie imekuaje hapa? Ndo maana wakaamua kupunguza na bei! Ziacheni zile ela nyie wanasiasa mnaharibu sana! Watu gan nyie hamna plan?
@swahilitimes Hivi hawa wanapatikana wap jamana wanavaa suti halafu anasema parking sqm 340 ni kubwa! Hv anakijua kiwanja 20 kwa 20 huyu? Ni sqm 400, nyumba ya vyumba vitatu inajaa hakuna hata eneo la kufagia
@WizaraSanaa Mnataka kusema nn wizara? Mbona gharama za uwanja uliopo hapo Temeke tu hamjatuwekea? Kuna tatzo kuweka na ule ambao capacity yake ni viti 60,000?
@Mzeewajambia Akili hauna wewe, mechi ya AFL mamelod mashabiki waliingia bure! Unafikiri kuuheshimisha mpira ni kuweka kiingilio? Kuuheshimisha mpira ni kushinda mechi