@bohny_chengula Kuna mtu alinipa shule kidogo sheria ziko tofauti, Kuna sisi wa SADEC, tuko na zetu na hao wa mbele uko Kuna sheria zao tofauti na sisi hatuchangamani nao
@Labella_Mafia95 Inategemea, mashuka ya geto au nyumba ya familia, kama ni geto Hadi usikie Kuna mgeni, tena ni mashuka mawili tu Moja la kutandika lingine kujifunika