Semaji Ahmed Ally kuhusu mchezo dhidi ya Azam FC na namna wachezaji walivyopambana.
Mahojiano kamili yanapatikana YouTube - Simba SC Tanzania. #NguvuMoja
Hapa hakuna timu ya mpira wa miguu .!
Hii ni mechi ya 6 kwa mashindano yote kama sikosei lakini ukiangalia utasema imepanda daraja halafu wamecheza mechi 50 tayari
Wamechoka
Hawapo fit
Kimbinu wapo vibaya sana
Kiufundi ndio huruma
Waoga
Wavivu
Everything bad tunacho sisi
πππππ ππππππππ ππππ.
Bado hujachelewa, jisajili sasa kushiriki mbio hizi kwa kuingia https://t.co/2NVc2iYjg6 #NguvuMoja
Rushine De Reuck akiuelezea mchezo dhidi ya Azam FC na namna walivyojiandaa kuwakabili wazalishaji wa ice cream.
Mahojiano kamili yanapatikana YouTube - Simba SC Tanzania. #NguvuMoja