@RealHauleGluck @BarrickGold Washindi kwa kulipa fidia? Kiufupi mabeberu wamenyooshwa sana yani. Halafu naona siku hizi umekuwa muimba taabu wa Bavicha, masuala ya haki na demokrasia yameishia wapi!??
@RealHauleGluck Kwani hujui kama wanatuibia!? Tokea mataifa ya Africa yameanza kupata msaada haujaona athari za pesa za mabeberu!? Acha ushamba wa kisiasa
@RealHauleGluck Wananchi waliogoma kuwapa kura wapinzani? Wananchi waliogoma kubaki vituoni baada ya kupiga kura? Wananchi waliogoma kuandamana? Wananchi wanaochukia hujuma zinafanywa na wapinzani dhidi ya nchi yao!? Jaribu kuwa serious kidogo