Mwalimu ndio alipigania uhuru wa nchi hii na katika maradhi,ujinga na umasikini wa kuviondoa ni mwalimu..ukifuta ujinga automatically umeondoa umasikini na maradhi
Tunaahidi kuendelea kurudisha kwa jamii katika kile kidogo tunachokipata kwenye muziki wetu na kuacha alama chanya kwa jamii na taifa kwa ujumla na Mungu atusimamie.
Tunakuomba usambaze ujumbe huu (share/repost/retweet) Na Mungu atakubariki sana.
Akhsante.
@moodewji@moodewji ni aina ya matajiri wanaotutia sana moyo sisi watu wa hali ya chini.
Nikimuona,nikimsikia, na kauli zake hua zinanifanya nione pesa sio kila kitu bali maisha ya furaha. Ubarikiwe sana "Mo".
"Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa." - Mathayo 6:33
//
โBut seek first his kingdom and his righteousness, and all these things will be added unto you.โ โ Mathew 6:33
Have a blessed Sunday everyone ๐๐ผ๐๐ผ
#Sunday#Blessings