@bhazenga_@99Zaburi Sijui sana ila haijalishi how talented you’re, Watu wanataka na kuangalia matokeo na sio intention zako
Na hiki ndicho watu wengi tumezidiwa na watu wa nje watu hawachagui kwamba kukusapoti au kuamini wewe ni local talents ila je utawapa matokeo wanayotaka wao?
Sio kwa bahati
@bhazenga_@99Zaburi Sijui sana ila haijalishi how talented you’re, Watu wanataka na kuangalia matokeo na sio intention zako
Na hiki ndicho watu wengi tumezidiwa na watu wa nje watu hawachagui kwamba kukusapoti au kuamini wewe ni local talents ila je utatupa matokeo tunayotaka sisi?
Sio kwa bahati
Mimi mtu nikisikiaga anasema MO amerithi pesa sio za kwake waga naona ni mtu ambaye akili yake bado ipo nyuma sana
Na uhakika mtu huyo huyo ukimpa hizo hela za MO na mali zake baada ya miezi 6 atarudi amefilisika hana kila kitu
Brother ku-manage hela inahitaji akili kubwa sana
Kampuni kubwa duniani la Technology,
Apple linaikwepa AI kuonekana imetumika kwenye Marketing yao, They are making everything to feel HUMAN
What does this communicate to you?Especially as business owner
Wanajaribu kuonyesha imperfections ili tu kuondoa anything related to AI tast
Mimi naamini Real Madrid watafanya usajili kwenye kila sehemu ila kama hawatoweza kupata profile zinazokaribiana na Kroos & Modric basi Madrid itaendelea kutaabika sana si UEFA tu hata La Liga
Kumbe kocha ni Mourinho 😀
Labda ataweza kufanya manuva yake ila bado sishawishiki
@pastajoshuatz Kwanza kwa kuangalia tu powerplants za viwanda vyake zinavyoweza kutengeneza pesa
Afu watu wanachukulia kwamba MO kaachiwa mali ila mtu anaweza kuachiwa mali kama hizo za MO miaka 10 badae umefilika hamna cha mana amekifanya
A man who knows himself can’t be manipulated. The world’s games depend on your hunger for validation. Once you master your shadow, your lust, envy, and fear, they lose their leverage. Self-awareness is the highest armor.
Kwa taarifa yako(Takeway);
Ubongo wa binadamu una mambo mengi kuliko unavyodhani hivyo unahitaji urahisi kila mahali
ChatGPT wanajua kabisa watu wavivu kusoma ila wanascan
Apple wanajulikana kitambo hata iPhone walijiposition with easy to use
Amazon make convenient for customers
Utofauti mkubwa wa ChatGPT na AI nyingine kama Claude,Google ni:
ChatGPT wameweka Urahisi kila mahali na kumfanya msomaji asichoke kusoma.
Angalia namna paragraph zao zilivyopangika, na maneno machache na marahisi kuyaelewa (spacing)
SIMPLICITY is the ultimate unfair advantage
Watu wanaohamasisha tohara wameambiwa wamahasishe watu zaidi ya miaka 10 kwenda juu
Anaulizwa kwanini miaka 10 anasema hakuambiwa 😄😄😄
Unaweza kuona ni ajabu ila ndivyo taasisi na watu walivyo
Utajua ni kwanini tupo hivi
@francismtey Kweli kabisa.
Niliwahi kukaa nikafikiria sio tu maisha pekee ake kitu chochote mtu ukiamua kukifanya inabidi ukae utafute au ukipe broader meaning on it, business, work, life itself and whatever.
Kwa upeo wangu bila maana inakuwa bora liende tu which isn’t bad at all.