Lawyer by profession, skilled in Advising {adviser} in planning {professional planner and in national developing .hard worker, African hero and reader by hobby
@tonytogolani Ukimpima samaki kwa uwezo wake wa kupanda mti ataishi maisha yake yote akiamimi Ni mjinga na hawezi kufanya lolote mbele ya wengine. Kila Binadamu ana uwezo unaotofautiana na wengine, kila mtu ana namna ya kufafanya Mambo yakafanikiwa kulingana na uwezo wake..
Kama Kinyonga na Konokono hawana mbio lakini hawalali njaa, tujifunze
kila kilema kina mwendo wake, na kila kilema kina rizki yake yenye mwendo inaofanana na kilema hicho. Kila binadamu pia anacho kilema chake. Kijue kilema chako, nenda na mwendo wako, utakutana na rizki yako.
@tonytogolani Ukimpima samaki kwa uwezo wake wa kupanda mti ataishi maisha yake yote akiamimi Ni mjinga na hawezi kufanya lolote mbele ya wengine. Kila Binadamu ana uwezo unaotofautiana na wengine, kila mtu ana namna ya kufafanya Mambo yakafanikiwa kulingana na uwezo wake..
@tonytogolani Hakuna binadamu anayeweza kumfurahisha kila mtu katika kila atendalo Cha msingi Ni kuhakikisha kwamba yupo kwenye njia sahihi, usahihi huo si kwenye macho ya watu Bali kwenye fikra za kiungwana ...

#SikilizaTogolani "Starehe zinaaihirishika lakini afya haiairishiki Napenda kuishi ili nifanye starehe na anasa nyingi zaidi mbeleni. Maisha yenyewe hata bado sijayafaidi sana. Mniache kwanza mpaka hali ikae sawa". Mshauri wa Masuala ya Kipumbafu, Anasa na Starehe
@tonytogolani@SeifSharifHamad Kiukwel alikua Maana ya kiongozi... mung amsameh alipokosea kwani hata Kama Ni Bora kiasi gani hakuna binadam asiyekose na amuweke mahala pema Amen
Wengi hatupendi kukosolewa kwa kudhani anaetukosoa anatudharau au anajiona anajua Sana bila kukumbuka kwamba binadamu wote wanamapungufu na namna moja wapo ya kusahihisha mapungufu hayo Ni kwa kukosolewa na wengine..
@tonytogolani Wakati mwingine watu wanachukulia ujumbe Kama masimango au dharau kutokana na sauti wanazozitengeneza kichwani either za ukali au za mithili ya dharau
@tonytogolani Kila ukiwaza au ukipokea ujumbe kwa kusoma Kuna sauti inasikika kichwani kwako kana kwamba MTU anakwambia au anasoma na hiyo ndiyo inayofanya watu wengi kupuuza jumbe nyingi

Don’t fall into the trap of letting others snatch away your confidence. People tend to do that with their words and actions. Know their agenda. Don’t shrink back. As long as you’re doing what’s right, go forth. Remember, in the end, only the Almighty’s opinion matters!
@tonytogolani Wapo watu wanaamini ili wawe juu lazima wawashushe wengine ndio maan MTU akiulizwa kuhusu MTU fulani anaeleza mabaya tu ili yeye aonekane Bora Sana bila kujua hiyo ni njia ya kumtambua mjinga..
Unapofuatwa na mtu kuombwa maoni yako juu ya mtu fulani, epuka sana kuegamia tu katika nongwa zako binafsi na huyo mtu katika maelezo yako kumhusu yeye. Inawezekana kabisa umjuavyo wewe sivyo alivyo, ama alishabadilika au damu zenu tu hazikupatana. Weka akiba ya maoni!
@tonytogolani Wapo watu wanaamini ili wawe juu lazima wawashushe wengine ndio maan MTU akiulizwa kuhusu MTU fulani anaeleza mabaya tu ili yeye aonekane Bora Sana bila kujua hiyo ni njia ya kumtambua mjinga..
UP COMING UNIVERSITY VOCATION MOOT COURT...
participants: All University of Tanzania offering law program
BE READY FOR THE ACTION
ALL NECESSARY INFORMATION WILL BE PROVIDED SOON
YOU ARE ALL WELCOMED
@UDOMHRA@udomofficial@Advocate_Jebra@TanganyikaLaw@judiciarytz