@THRDCOALITION Good thing, we are proudly to see our former member there Mr. Emmanuel Majeshi.
We are asking for the chance to participate on matters related to this as students.
We believe that the trainings like this are crucial to develop our understanding.
Thank you for consideration.
the hardest thing i’ve learned this year is that you can never force someone to communicate and work things out. you can’t beg for someone to see that you are worth fighting for. and i stand by that now.
Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote ya Mwaka 2023 itaanza kutumika Tanzania Bara kwa tarehe ambayo itaelezwa kwenye tangazo litakalochapishwa kwenye Gazeti la Serikali na itakuwa ni lazima kwa Watu wote
Kifungu cha 37.-(1) kinasema Mtu yeyote (Isipokuwa kwa wageni wanaoingia Nchini) ambaye bila sababu za msingi atashindwa kujiunga na Skimu ya Bima ya Afya ndani ya Miaka Mitatu tangu kuanza kutumika kwa Sheria, atakapojiunga, atalazimika kulipa riba ya asilimia 10 ya kiwango cha uchangiaji kwa kila Mwaka wa Uchangiaji.
Kufahamu zaidi Sheria hii, Soma https://t.co/mJ5gotktSZ
#JamiiForums #BimaYaAfyaKwaWote #PublicHealth #Afya
Jumuiya ya Haki za Binadamu Chuo Kikuu cha Dodoma tunakutakia wewe na familia yako sikukuu njema ya Eid-El-Adha.
Tudumishe Amani, umoja na mshikamano Kwa maslahi mapana ya jamii!
@humanrightstz@bunge_tz@JideJaydee
According to the great work done by @udomhra, in addition to the fact that it will be looking at the RIGHTS and RESPONSIBILITIES of everyone to end up in the community around them, it is also open to bringing a specific "SEMINAR TRAINING" according to the relevant topic.