Huyu Johari ndo chanzo cha kuwapa watu mashtaka ya uhaini na ugaidi na kesi ya Lissu - ye ndo anaisukuma kisheria kupitia ofisi ya DPP!
Ila mwisho wake umefika pia!
Mungu aendelee kukulinda Dada wa Taifa @mangekimambi
Na hawa walioenda na Johari - Kombo na Nyalandu - mtalipa haya maovu!
Mungu atutangulie katika yote but we have to fight 👊🏽🔥
#SamiaMustGo
African governments are using concocted "treason" charges to silence their political opposition -- for example, in Uganda, Zambia, and Tanzania. https://t.co/9K7LVebgNe
Nimefika Kijiji Cha Mahambe Wilaya ya Ikungi Mkoa wa Singida,Kumpumzisha kwenye nyumba yake ya Milele Mzee Simon Mughwai, Kaka wa Tundu Lissu! R.I.P MZEE SIMON MUGHWAI (ALUTE)
Tunapisema TUNATAKA KATIBA mpya ni pamoja na kudai uhuru wa mihimili na utaratibu wa kikatiba na kisheria wa namna ya kupata Majaji.
Majaji wa sasa wengi ni wana usalama na makada wa CCM, wako tayari kupokea maelekezo.
Wanaodai katiba sio chakula wajifunze kwa hukumu ya Lissu.
Ukiwaonq wamevaa hivi baadhi yao utadhani ni malaika; kumbe ni wanasesere wa watawala waliozika taaluma zao kwa ajili ya kuwafurahisha watawala na kulinda masilahi yao.
Wameitia aibu mamlaka ya utoaji haki nchini.
Swali:
Baada ya kukosa imani na hawa tukikosa haki tuipiganie?
FORMER BOTSWANA PRESIDENT IAN KHAMA, SPEAKING ABOUT TANZANIA AND THE EVENTS SURROUNDING THE 2025 ELECTION:
“What you see in Tanzania is where a person is prepared to kill and murder and slaughter her own citizens in order to stay in power. I think it is just a situation that we never thought we would ever experience and the regional and continental organizations should really be ashamed of themselves for allowing this situation to have happened.” - Ian Khama
THE BLOOD BENEATH THE FLAG highlights the events before, during and after Tanzania’s 29 October 2025 election and the unanswered questions left behind.
Watch here: https://t.co/awUgZuiMOc
#MO29 #TanzaniaMassacre