@shabiki_jr Bro hii issue uliyoongea hapa nmekutana nayo leo kuna movie inaitwa the wedding banquet nmeangalia 10mins za mwanzo nikafuta na nikajuta kwa kupoteza mbs zangu maan ni mambo ya kipuuzi sanaa aisee daah Mungu atuliende tuu aisee hii issue wanaforce sana iyonekane ya kawaida aisee
Kama wewe ni shabiki wa YANGA SC mbovu iliyobadili makocha 3 ndani ya msimu mmoja, Yanga inayotafutiwa makosa kila baada ya mechi, Yanga isiyo na jema kwa baadhi ya wachambuzi, tafadhali RT tuwaoneshe msimamo ulivyo mpaka sasa. Sisi tulishakubali ni WABOVU SANA msimu huu.