Kikomo cha uwezo wa kuvumilia/ stahimili jambo ni pale ambapo kuna athari ya wazi kwenye maisha ya mtu husika. Jua wakati sahihi wa kuachia/ Kuacha.
∆∆∆∆∆
The ability of endurance is limited by the impact it has on someone's life. Learn and know when to let go.
#Code_0024
HADITH: Hapo zamani za kale ukikuta mwanamke analea mtoto peke yake, ujue amefiwa na mume, siku hizi ukikuta analea peke yake ni fashen, kwa sababu wanawake wengi wamekosa adabu
#Code_0024
Utamfundisha jinsi kupiga mswaki halafu yeye atakung'oa Meno ,akilijua kosa lake atakuja kukuomba msamaha Ila kwasababu wewe ni.muungwana utamsamehe halafu jion anakualika katika sherehe ya Kula nyama🍗
#Code_0024
Nafasi kwenye jamii,dini,kaibila ukwel pekee ndio unatakufanya uwe huru kwa utendayo na maisha kwa ujumla
" Mtu mkwel Ni kipenzi Cha mungu"
"Ukweli umuacha mtu huru"
Hiyo nimisemo ushapata kuisikia au kuisoma paala Basi itafakari (tafaqul).
#code_0024
Ukweli upaswi kufumbiwa macho kabisa
Sema narudia Sema itakupa afuheni ndani ya moyo
Usipate kupuuza au kuacha kusema ukwel ilet kisa tu umefurahishwa na chembe ya mchele , iwe kiongozi wa jamii au siasa ,dini au kabila kuwa mkweli hata wewe mwananchi usiyekuwa na cheo au👇👇