Kosa la barabarani linashughulikiwa kijeshi, hii hali sio sawa, haina usawa
Tanzania ina mifumo wa sheria kwa masuala yote, hata maafisa wa serikali wanatakiwa kutumia sheria kama vile kuhusisha @tanpol kwenye suala ya kipolisi
#ChangeTanzania
#Rwanda: Mahakama ya Rufaa Rwanda iliidhinisha kifungo cha miaka 25 kwa nyota wa 'Hotel Rwanda' Paul Rusesabagina.
Kwanini mtu huyu na juhudi zake kuokoa maisha ya watu katika mauji ya 1994 yalimpa umaarufu?
Tazama...
Mwezi huu, nitasaidia Shillingi za Kitanzania Milioni 1 (au zaidi), au bidhaa/ huduma, kwa ajili ya hisani kwa wahitaji. Kwa ambayo itaweza ku-retweet kwa mara nyingi itaweza kujishindia zawadi hiyo. #MoGifts2022
Tarehe ya mwisho ni baada ya siku 7 kuanzia leo.