. kuuliza TPA wanaambiwa viongozi wenu walishasaini, naasikia ni hela
Imagine tumempa DPW bandari, tunamkarabatia, yeye ni kuchuma tu hela😭😭😭😭😭😭😭
Inauma jamaniiiiiiiii
Maoni yangu hapa bado maana tukiwaambia tuungane wote kupigania nchi wengine mnabeza na kusema SIASA
HII NI BALAA KUBWA SANA KWA WAFANYABIASHARA.
Tunaomba utusaidie kupaza sauti😭😭😭
Leo TRA Wameamka na kupandisha kodi za wharfage gari ambayo ulikua unalipa tsh 230,000 leo wametoa control namba ulipie 1,200,000 anaconda ilikua inalipiwa 500k leo ni mil 3.4😭
Maagent wakienda