HATUTAWEZA KUPATA KATIBA MPYA YENYE MANUFAA KWA TAIFA CHINI YA UONGOZI WA SAMILIA SULUHU.
NI LAZMA IWEKWE SERIKALI YA MPITO NDIO ISIMAMKE KATIBA MPYA….
NARUDIA, HATUWEZI KUPATA KATIBA MPYA INAYOHITAJIKA NA TAIFA CHINI YA UONGOZI WA WAUWAJI WA OCTOBER 29.
LAZMA TUPATE SERIKALI YA MPITO KWANZA!!!!!!
🔥Safi sana hii ndo njia ya kumlinda kiongozi! ‼️🔥
Police blocked from laying their hands on Deputy Chair of @ChademaTZ2 as they were plotting another illegal detention
Hawa polisi walijaa hapo jukwaani ili wamkamate @HecheJohn kama walivyofanya kwa @TunduALissu wakati wa Tone Tone?!
Kwa hii nyomi 😀 hawa polisi wangejua hawajui!
Sasa ni kulinda viongozi kwa njia hii ya nguvu ya umma 👊🏽
Hapana chezeya kanda ya Ziwa!
#TutaelewanaTu
Watanzania wote Kwa pamoja tuwape mauwa Yao Hawa makamanda Kwa kuonesha wanafanya siasa Kwa ajili ya taifa hili na siyo Kwa ajili ya familia zao
Shusha retweet 5000
#UPDATES "wewe mtu wa Sengerema unaogopa mabadiliko wakati hauna hata chakula cha kula mchana, unaogopa mabadiliko kwa sababu gani?, ili uende mbinguni kiingiio elfu kumi wemgi mtaenda motoni halafu unaogopa mabadiliko kwasababu gani? mabadiliko ni kwa ajili ya vijana na watu maskini kutoka kwenye hali mbaya uliyokuwa nayo kwenda kwenye hali nzuri zaidi "
John Heche - Makamu Mwenyekiti CHADEMA akihutubia wanachama wa chama hiko Sengerema, Mkoani Mwanza. #EastAfricaTV