Business and finance , Project Planning and Managementa Degree holder, Community Development work expert, & Wellness, An art of painting and decoration manager.
@HansJohnson10@ManJoh01 @angelnerd17 @gifolili Nakumbuka TO wakikuwa wawili oalw pugu boy mwingine alikuwa anafahamika Mohamed Ally mpemba hivi, lakini huyu mwamba ndo alikuwa noma sana
@JamiiForums Hizo huduma kwa taasisi zetu za kitanzania zimekaa kiujanja na uwizi tu, hata @AzamPayTz nimenunua kifurushi kwa kukosea toka tarehe 5 ya mwezi wa 12 mpaka sasa ukiwapigia wanakwambia bado mpaka masaa 24 mpaka 48, ukiangalia kabisa hizi taasisi zimekaa kiuwizi uwizi tu
Imagine this,
Unamaliza Chuo
Mungu anakuona unapata kazi Benki.
Maisha yako yanabadilika,
unahama kwenye nyumba ya familia Temeke Ulikokuwa unaishi na Mama,Dada na Kaka yako na Unahamia Mikocheni B.