Hakuna anayeniweza kwa kucheza na maneno na ku switch flows kwa kwel 😤 na sijui lini nimewahii kurudia midondoko 🥶🚀
Flex is out everywhere and available on You Tube in my bio . Subscribe on our new YT Channel @serikalikuu_
https://t.co/efNbVmGjZq
Ile @serikalikuu_ yenye mamlaka, mizuka, mistari ya kutosha na flows kali inarudi tena Ijumaa hii 17/05 , siku ambayo tutairudisha upya heshima ya muziki wa Hip Hop nchini Tanzania 🇹🇿
Prod by @ammy_wave 🌊
Pre-save Link in @serikalikuu_ bio
https://t.co/efNbVmGjZq
wa kutuletea haya mawe ya aina hizi ambazo vijana wengi wanyamwezi huwa ndio mikato yao..
Msamiati in recent years aliachia #Malafyale akiwa na Mbuzi @YoungLunya na ilienda sana then ikafuatia #Tumeondoka akiwa na Mwamba @JohMakini na Canabino @Conboicannabino
mikato hii ya Bongo traps ni nadra hata kusikia session za DJs wakichapa haya mawe zaidi zaidi zikichapwa hewani utamsikia Mbuzi @YoungLunya na @countryboy
Sasa kama haujakutana na haya mawe kutoka Unyakyusani Mwanjelwa Stand; Mwanetu MALAFYALE @msamiart amekuwa na muendelezo
Kuna wakali Wengi ambao wamekuwa wakichapa Modern Rap Bongo na haswa Trap na Drill ambayo ina Generations kibao tangu enzi za Bongo Crunk ambayo iliasisiwa na CP(RIP) Kibongo bongo.
Kuna wapenzi wengi wa mziki huu ambao kuna muda kutokana na uchache wa wasanii wanaofanya