Upande aliojichagulia dudu baya unamlinda ajabu๐๐
Ukipaza tu sauti kupinga hata kama alizingua inaonekana wewe ndio wale wale ambao brek hazikabi.
Kudeal nae inabidi uende kwa akili kubwa sana๐๐๐๐พ
Linda mgongo wako hali ni mbayaaa
@SelaSela197@Roma_Mkatoliki Kwasababu ameshawaaminisha watu yeye ni mtukufu na wao wanafuata mulemule. How come sheria zote za Tanganyika akabadili zikawa za muungano? Katiba inamlinda rais sana kwan hakulijua hilo?
Darasa la 1-7 unaamka saa 1 asubuhi
Form 1-4 unaamka saa 1 asubuhi
Form 5-6 unaamka saa 1 asubuhi
Chuo kikuu unaamka saa 1 asubuhi
Kazini unaamka saa 1 asubuhi
Huu ni mzunguko wa maisha yako yote hadi uzeeni; Harafu tunaambiwa UTUMWA uliisha?