Mine....๐
1. Whitney Houston โ "I Will Always Love You"
2. Power of Love ~ Celin Dion
3. Toni Braxton โ "Un-break My Heart"
4. Sarah McLachlan โ "Angel"
5. Adele โ "Someone Like You"
6. My Heart will Go on ~ Celin Dion
7. Leona Lewis โ "Bleeding Love" (soft version)
8. Stephan Sanches - "Until i found you (Piano Version
9. Sneha, Contejas - "So this is Love"
10. Christina Perri โ "A Thousand Years"
Create your top 10, Sleeping Playlist,..
FRIDAY FRIDAY FRIDAY FRIDAY FRIDAY ๐ฅ
Nimekusogezea Playlist ya ngoma kadhaa Mkuu, Ukichanganya na yako inaweza kuisindikiza poa sana Weekend yako ๐๐พ
Ni muda wa kuvitestii Vifaa vyetu vya kusikilizia Muziki sasa.
UZII ๐ฅ๐๐ฝ๐๐ฝ
STORY ZA KOMBE LA DUNIA.
S1-E3
Kama nilivyosema hapo Mwanzo, Mwaka 2006 Baraza la Halmashauri ya Jiji la Montevideo na Makumbusho ya Soka huko Uruguay walianzisha Mashindano ya kuvumbua eneo ambalo Goli la Kwanza kabisa la Kombe la dunia lilifungwa.
Kila Mtu anajua Goli lilifungwa na Laurent, Katika uwanja wa Estadio Positos, Lakini uwanja huu ulibomolewa mwaka 1940 hivyo hakukua na kumbukumbi Yeyote.
Msanifu wa Majengo Hรฉctor Benech ndiye aliyechunguza na kupata eneo exactly goli lilifungwa, Center circle ya Uwanja, Corney ya uwanja.
Hivyo Baada ya Maeneo haya matatu kupatikana, Coca-cola, Wizara ya Utalii na Makumbusho ya Soka waliamua zijengwe alama tatu ambazo zitakua kumbukumbu za Daima.
Zabuni hii alipewa Msanifu wa Majengo kutoka nchini Argentina aliyeitwa Eduardo Di Mauro, Msanifu huyu alizipa kazi hizi 3 Majina yake:
Zero to Zero
The Ball in the Middle
Where the Spiders Sleep.
Ukitazama picha, Utaona sehemu imewekwa Duara ambapo ndio ilikua center circle โญ ya uwanja, Picha nyingine ina alama ya Half Column ya Goli ambapo ndio goli la kwanza lilifungwa na Lucien Laurent akiifunga mexico.
Moja ya Blog iliyoitwa En Una Baldosa ilimuhoji Di Mauro kuhusu kazi yake ya sanaa hizi Tatu.
Swali: Je, muundo wa sanamu hizi una uhusiano na bango (Badge) la kwanza la Kombe la Dunia?
Di Mauro: Ndiyo, ina uhusiano na bango hilo. Msanifu wa uwanja huu wa Pocitos alikuwa Juan Antonio Scasso, ambaye pia alisanifu uwanja wa Centenario. Nilitumia namba "1" ambayo ina umbo sawa na lile la kwenye bango la mwaka 1930. Pia nilitumia zege kama ishara ya heshima kwa uwanja wa Centenario ambao ulijengwa kwa zege tupu.
Swali: Je, mtaa huu unaishi vipi na sanamu hizi?
Di Mauro: Wakati tunazifunga, kulikuwa na maoni tofauti. Jirani mmoja alilalamika na kuuliza, "Hiyo takataka ndiyo mnataka kuweka hapa?". Lakini jirani mwingine aliyekuwa mkabala na goli alijivunia sana. Siku hizi, watu wanazisafisha, na wengine wanazichora maandishi machafu, Kwa kuwa ziko barabarani, basi ni mali ya kila mtu.
Swali: Ulimaanisha nini uliposema "Pale Buibui Wanapolala" (Donde duermen las araรฑas)
Jibu: Huu ndio ulikuwa mstari ambapo goli lilipokuwa. Jina la sanamu hiyo linatokana na msemo maarufu wa mpira wa miguu (mara nyingi ukimaanisha kona ya juu ya goli ambapo buibui wanaweza kutandaza nyavu zao kwa utulivu). Di Mauro anakiri kuwa hakujua nani alifunga goli la kwanza mpaka alipoanza kushiriki shindano hili.
Follow & Share
#Kuhusu_Kombe_La_Dunia
Kuna watu wana historia ngumu na za kustaajabisha mpaka unajiuliza kwanini yeye tu? Mmoja wao ni Mathew Peter Kijiu (40) mkazi wa Yombo-Vituka DSM. Mwaka 2020 akielekea kazini kwenye kiwanda kimoja cha vinywaji maeneo ya Vingunguti alipata ajali akiwa kwenye Bajaj baada ya kugongwa na daladala. Alivunjika mguu, na kwa sababu alikuwa kibarua tu (hana mkataba) hakupata msaada wa matibabu kutoka kwa Mwajiri.
Alijitibia kwa gharama zake hospitali ya Amana. Baada ya miezi mitano alipata nafuu akawa na uwezo wa kutembea japo kwa kuchechemea. Aliporudi kazini aliambiwa nafasi yake imeshapata mtu mwingine, atajulishwa ikiwa kutatokea nafasi za vibarua baadaye.
Akarudi nyumbani, miezi ikapita bila kuitwa kazini. Alipofuatilia akaambiwa bado hakuna nafasi. Akaamua atafute shughuli nyingine ya kufanya ambayo itamsaidia kuendesha familia. Kuna baadhi ya wafugaji wa kuku alikua anafahamiana nao maeneo ya Kitunda, akawaomba wampe mayai kwa mali kuauli. Anachukua mayai, anaenda kuuza, jioni anawalipa, kisha yeye anabaki na faida.
Mwaka 2023 akiwa amepakia mayai kwenye guta, alipata ajali maeneo ya Banana baada ya kugongwa na Suzuki Carry. Mayai yalivunjika na yeye akaumia kichwani. Alikimbizwa Amana lakini ikaonekana kesi yake ni kubwa hivyo akapewa rufaa ya MOI. Alifanyiwa upasuaji na kupona. Hata hivyo alipata changamoto ya kupoteza kumbukumbu mara kwa mara. Alitakiwa kuhudhuria kliniki mara moja kila mwezi kwa uangalizi wa madaktari.
Mwaka 2024 akiwa anashuka kwenye daladala pale nje ya geti la Muhimbili, akielekea MOI kwa ajili ya kliniki, aligongwa na pikipiki na kuumizwa mguu uleule aliovunjika awali. Alikimbizwa MOI na kufanyiwa upasuaji.
Hata hivyo tangu wakati huo bado kidonda ni kibichi na anatembelea magongo. Ameshindwa kurudi hospitalini kutokana na kukosa fedha. Anahofia kidonda hicho kugeuka kansa kwa kuwa kimekaa muda mrefu. Makadirio ya matibabu yake ni TZS 3M.
Ifanye sadaka yako ya kuanza mwaka 2026 iokoe maisha ya Mathew na Mungu aitumie kubariki kazi za mikono yako kwa mwaka huu. M-PESA #0752581983, Tigopesa #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation. Rudisha Tabasamu Let Love Lead.
Anjelina, Advera, Levina, na Paxeda, ni ndugu wa Enos
Naam!
Enos Son of Elias mzaliwa wa Kakoko mkoani Kigoma
Tarehe 27 Oct 2023 ilimkuta Enos akiwa kwenye usafiri wa umma
Safari ikamfikisha kwenye kuzuizi cha maafisa Uhamiaji karika eneo la Kihomoma, Kakonko
BURNA BOY Part2.
Msanii wa Nigeria Burna Boy amebaniwa kuingia nchini UK kwa miaka 15 hii ni kutoka na kuhusika na kifo cha mtu ambae aliuwawa na moja ya watu wa genge la kihuni ambalo Burna Boy alikuwa akijihusisha nalo nchini uingereza
Tukio hilo likitokea 2013