@Chahali Serikali ifike mahala muwe na huruma mfanyakazi anaelipwa 1.2M anakatwa kodi huyu anaingiza pesa nyingi akatwe kodi au makanisa yanayofanya biashara ya kuuza maji, chumvi walipe kodi hio ni biashara. ona wanavyokufuru!! kuna haja gani ya kuonesha hizi pesa? kula kimya kimya TRA
@Sharb84@mangekimambi wananchi na wanaharakati wapambanee wenyewe waje wapewe madaraka. @AnnaTibaijuka aliwahi kusema CCM haitaweza kukabidhi nchi kwa makaratasi. Ifike mahala hayo maandamano yawe na coordinators ambao watakua wasemaje kuepusha migongano ya uharifu na maandamano.
@AnnaTibaijuka@SuluhuSamia we bibi kaa uleee familia yako umekosa cheo umekua msemaji wa nani? Rais aingilie mahakama ili iweje? Acha idhalilishwe na gwiji wa sheria hio ngoma Lissu kaiweka pazuri ngoja tucheze. We si1.6B ulisema ni hela ya mboga achana na jemedari Lissu ongelea mengine mfumo umekutema