EPUKA MATAPELI.
Taarifa za kuaminika kutoka kwa Mwenyekiti wa Bavicha Kanda ya Pwani Kamanda @JohnNgutiCDM anasema ( mhuni pichani) sio kiongiozi wa Bavicha Kanda ya Pwani, na sio Kiongozi wa Bavicha kwenye Msingi,Tawi,Kata,Jimbo,Wilaya wala Mkoa. Huyu ni mhini apuizwe.
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pemba Mhe. Omar Nassor akizungumza katika mkutano wa hadhara wa operesheni #KatibaMpya#FreeTunduLissu uliofanyika Tabora Mjini, katika uwanja wa Town School leo tarehe 26 Juni 2026.
Kamati ya Bunge la Ulaya ya haki za binadamu imepokea ushahidi kuhusu madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania katika kikao maalum.
Ushahidi huo umetolewa na mke wa mwanasiasa wa upinzani Tundu Lissu, anayekabiliwa na kesi ya uhaini, pamoja na ndugu wa Humphrey Polepole, mwanasiasa wa CCM ambaye hajulikani alipo.
#Tanzania
"An 82-page submission to the International Criminal Court by a group of civil society organizations [has] stated that the Tanzanian authorities killed more than 3,000 civilians following polling day [last October]."
https://t.co/dHCUchvlQU @euobs
KWAKUWA NI HALALI KWA WAZANZIBARI KULINDA HAKI ZA WAZANZIBARI HAIWEZI KUWA HARAMU KWA WATANGANYIKA KULINDA HAKI ZA WATANGANYIKA.
Kwa yanayoendelea kujitokeza katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar kuhusu kujitanabaisha kwa misingi ya Uzanzibari na kulinda maslahi ya Zanzibar, je, si wakati sasa kwa Watanganyika nao kuzungumza kwa uwazi, kuhoji kwa uhalali na kujadili kwa kina masuala yanayohusu haki, hadhi na maslahi ya Tanganyika?
Je, Watanganyika hawana haki ya kuhoji na kulinda:
1. Bandari zilizopo ndani ya Tanganyika.
2. Misitu na rasilimali za mazingira za Tanganyika.
3. Rasilimali za asili zilizopo katika eneo la Tanganyika.
4. Hadhi, haki na umiliki wa ardhi ya Tanganyika.
5. Nafasi, haki na uwepo wa watu wasio Watanganyika katika idara na taasisi ambazo si za Muungano.
6. Uhalali wa viongozi wasio Watanganyika kuingia au kusaini mikataba inayohusu rasilimali za Tanganyika, hususan pale ambapo baadhi ya masuala hayo tayari yameondolewa katika eneo la Muungano kwa upande wa Zanzibar.
7.Kuhoji mchango wa Zanzibar katika kugharimia gharama za uendeshaji wa shughuli za Muungano na Ulipwaji wa Deni la Taifa.
Ikiwa ni halali kwa Wazanzibari kujadili, kuhoji na kulinda maslahi ya Zanzibar kwa misingi ya utambulisho wao wa kisiasa na kikatiba, kwa mantiki hiyo hiyo haipaswi kuwa kosa kwa Watanganyika kuhoji, kujadili na kutetea maslahi ya Tanganyika.
Katika mfumo wowote wa haki, usawa na kuheshimiana ndani ya Muungano, haki ya kulinda maslahi ya Zanzibar haiwezi kutenganishwa na haki ya Watanganyika kulinda maslahi ya Tanganyika.
Haki hizo zinapaswa kutambuliwa kwa usawa, bila upendeleo na bila kuonekana kuwa ni tishio kwa Muungano, bali kama sehemu ya kujenga Muungano wenye misingi ya haki, uwazi na kuheshimiana.
UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI ndiyo Msingi bora wa kuliongoza Taifa kutoka katika vitendo vya Ukatili dhidi ya ubinadamu,ukiukwaji wa Haki za Raia na,Mauwaji na Utekaji vilivyofanyika kanla,wakati na Baada ya Tarehe 29 Oktoba 2026.
BAK MWABUKUSI.
Mnaua watu kwa maelfu, Mnateka watu na kuwapoteza. Mnaiba uchaguzi kwa nguvu..
Alafu mnasema kuna watu wanawaonea wivu kwasababu ya rasimali!!!!
Hivi mnawaona Watanzania ni wajinga?
Kwamba Mataifa ya nje ndio yaliwatuma kuiba uchaguzi ambao hamjashinda!!!!
Watu sio sisimizi mmeua lazima muwajibike.
🚨 EXPOSED: Samia Suluhu Hassan LIED straight to Putin and Russian media!
She boldly claimed ‘Tanzania is NOT under Western & European sanctions’ while begging for deals in Moscow.
LIES! EU froze €156M, US sanctioned her brutal police thugs for torture & election massacres, Washington reviewing ALL ties.
Samia is desperately shopping for Russian cover while her regime drowns in blood and isolation.
The whole world sees your hypocrisy, Madam Liar!
@KremlinRussia_E@mfa_russia@RT_com@SputnikInt@EU_Commission@StateDept@EUParl_EN
🚨‼️ZIARA YA URUSI YAZUA HOFU‼️
Narudia tena kwa sasa taharuki iko juu kwani wengi wanadai hata ndani ya mfumo kuwa sababu ya ziara ni kutafuta sumu au mbinu za kmwua Lissu na sasa kazongezwa na Nchimbi hapo!
Haya madai hatuwezi kupuuza maana mmeua maelfu ya watanganyika na wapo waliopuuza tulipowaonya kuhusu mipango hii ya kutuua!
These people are capable of ANYTHING!
Sisi tunachotaka kwa sasa Lissu aachiwe MARA MOJA akiwa mzima wa afya!
@judiciarytz mna wajibu to act fast - dismiss this case ASAP!
@MagerezaT mna wajibu kuhakikisha afya ya Lissu inalindwa
Kama huyu Alfred kweli kakubali huu ujinga ajue what goes around comes around!
Nchi imekuwa futuhi kabisa 🚮
#FreeTunduLissu #SamiaMustGo
Yesterday @EP_ForeignAff & @EP_Development rejected @EU_Partnerships' new funding plan to #Tanzania - because it fails to address EP's human rights concerns.
@EU_EEAS: call for justice for death of protesters & release of those arbitrarily detained.
https://t.co/p9b1BUHPhO
Ni kweli
Watanzania tuko na Senete ya Marekani
Samia na vikaba wachache ndio wanajifanya wao wana msimamo tofauti
Trump anatakiwa chukua huyu Samia kwa mauaji , wamchukue tu
Mahita kaamua kumwaga ugali na mboga.
Tafsiri ya kauli yake inaweza kuwa watuhumiwa wanauwawa ktk vituo vya polisi.
Ukweli huu pia unatokana na wananchi wengi wanaowatafuta ndugu zao wanaodaiwa kushikiliwa vituoni bila kuwaona.
Hii ndio Tanzania; ni rahisi kuuwa mtu kuliko kuku.
Kwa finishing aliyofanya msomi @TitoMagoti kwa yule kikatuni kwa heshima tumpe 👇🏻
Retweet 1K & Like 2K kabla ujalala ewe mpenda haki katika taifa letu Tanganyiaka #freetundulissu ✌️✊
MAHAKAMA YA RUFAA KUSIKIKIZA KESI DHIDI YA Mhe LISSU, June 11,2026:
Mahakama ya Rufaa itasikiliza maombi ya Mkurugenzi wa mashitaka nchini dhidi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe Tundu Antipas Lissu Alhamisi ya tarehe 11 June, 2026.
Haya ni yale maombi ya Jamhuri ambayo waliyapeleka baada ya Mahakama kuu kukubali pingamizi la Mhe Lissu dhidi ya maombi ya Serikali kuraka kuongeza maelezo ya nyongeza ya shahidi.
Jopo la Majaji 3 wa Mahakama ya Rufaa wamepangwa ambao ni, Mhe Mwalija, Mhe Jaji Muruke na Mhe Jaji Khamisi.
Hakikisha ujumbe huu umewafikia kwa wingi marafiki wa Demokrasia na Haki.
Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena.
Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA.
Kwa Watanzania wote, na wanachama wa CHADEMA wale walioumizwa au kukatishwa tamaa na msimamo wangu wa awali, naomba radhi kwa dhati pale nilipokuwa kinyume na matarajio yetu ya pamoja katika safari ya kutafuta haki, utu na demokrasia ya kweli.
Naam, binadamu hukosea, lakini dhamira inapozinduka ni wajibu kusimama upande unaouona kuwa wa kweli na wa haki.
Asanteni Sana.