Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. William Samoei Rutto @WilliamsRuto akipokewa na Waziri wa Madini @MadiniTanzania Mhe. @AnthonyMavunde wakati alipowasili nchini Tanzania kwa ajili ya kushiriki katika maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Nikiwa na Wenyeviti, Watendaji wa Mitaa na Wataalamu wa kata ya Buhongwa baada ya kujadili masuala ya uboreshaji wa huduma za maji katika kata hiyo. Kikao kiliitishwa na Diwani wa kata hiyo ya Buhongwa.
Wananzengo tuendelee kuelimishana kuhusu mpango wa kuongeza ufanisi wa Bandari Tanzania.
Hapa kuna jibu la kwa nini tunadhani DP World ndio kampuni sahihi ya kushirikiana nao?
Asanteni @RadioOneStereo kwa kunipa nafasi katika #KUMEPAMBAZUKA
Bwawa la Kidunda litakuwa mkombozi na suluhisho la upatikanaji wa huduma endelevu ya maji Dar es aalaam, baadhi ya maeneo ya mkoa ya Pwani na Morogoro Vijijini.