Asante sana Mange na Watanzania wote mnaoendelea kuchangia Chadema michango yenu inazidi kuiimarisha na kuwanyong'onyesha Mamumiani wanaotaka kuiua Chadema. Niwaombe Watanzania tuchangie Chadema kwa malipo ya kujirudia kila mwezi 0744 446969 na kuipa Chadema mapato ya kudumu.
@ElikanaMas37961@hamzaalbhanj@anuskills3 Na hata sajili nyingi za simba na yanga zilikuwa za kusajili magalasa zilikuwa haziwezi hata kuvunja mkataba wa mchezaji, zilikuwa zikienda kucheza uarabuni zinafungwa magoli 3-5 je sasa hivi hicho kitu unakiona?
@ElikanaMas37961@hamzaalbhanj@anuskills3 Ilikuwa inaendelea ila kuna baadhi ya timu zilikuwa zinakosa nauli za kuwasafilisha badala ya wanaomba msaada kwa timu mwenyeji ndo anawatumia usafiri.