Haya MAPAZIA ya Remote kumbe ni kamzozo
Quotation ya Dirisha 1 nimeambiwa 600k bila Pazia wala ufundi,,,Sitting room & Dining madirisha yapo 6 jumla 3.6mil
Fundi nimempa 20k nauli yake nimemwambia nitakua naamka kufungua na kufunga mwenyewe kila siku kwanza ni MAZOEZI pia 😂😂
Dar kuna sehemu panaitwa Viwege ni Gomz kwa mbele, sasa wakati tunaamia 2008 ilikuwa bush kinoma
Ndugu kutoka mkoani wakawa wakifika wanakaa siku moja wanaenda kwa ndugu mwingine Buguruni Rozana pale...wanasema hawawezi toka bush waje tena kukaa bush😂🙌
كرجل، لا تجعل رجلًا آخر يضطر إلى أن يتوسل إليك لتحفظ كرامته؛ بل احفظها من تلقاء نفسك.
Kama mwanaume, usimlazimishe mwanaume mwenzako akuombe umlindie heshima yake; iheshimu kwa hiari.
Nimejifunza kuepuka mijadala ambayo itanikonga kushare experience za maisha yangu kwa kujitolea mifano.
Hii ni silaha ambayo unampa mtesi wako. Unajua ni kwa namna gani?
Iko hivi, kitendo cha kushare experience kwa mfano wako, kina pande mbili.
1. Strength yako
2. Weekness yako
Sasa wasikilizaji wa stori yako, hawana mtazamo mmoja na wewe, Nia moja na wewe lakini pia sio wote ni Fans wako.
Hivyo, itawasaidia kung'amua njia za kutumia kukuangamiza ikiwa wana Nia mbaya nawe.
Lakini pia katika stori sio lazima mtu akujue sana. Mtu kukujua saana ni sawa na kumpa password ya Maisha yako.
Na kama ni mpenz wa kuhathia sana stori na ktk stori zako unajikuta automatically lazima utoe ushuhuda ktk stori, anza kujitenga na watu.
Kuna watu Destiny zao zimekufa kwa sababu ya kusimulia simulia mambo binafsi na ndoto zako kwa watu wasio sahihi na bila mpangilio.
CHUNGA KINYWA CHAKO, KIMEBEBA HATMA YAKO NA WALIO NYUMA YAKO!
Kuna pesa, vyakula au zawadi ukipewa zinatingisha imani yako ghafla unaanza kuona dhambi ni jambo la kawaida kwenye maisha.Kadhalika kuna watu au maskani zao,
Ukijihudhurisha nao tu unaingizwa kwenye uovu bila kujua au bila kupenda.Ukijaribu kuacha huwezi maana ni roho kamili
Watu wanaofanikiwa si mara zote huwa na woga.
Walijifunza tu kutoruhusu hofu ifanye maamuzi yao.
Ujasiri unaendelea mbele
wakati kutokuwa na uhakika bado kupo.
Maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika Kigoma yatatangazwa hivi karibuni na viongozi wakuu wa chama. Nina matumaini kwamba yatatoa majibu kwa kelele na mijadala mingi iliyoibuka hivi karibuni. Hata hivyo, iwapo italazimu kutetea heshima yangu binafsi dhidi ya kauli mbalimbali za dharau na upotoshaji, nitafanya hivyo kwa ufasaha. Nasikitika kwamba naweza kujikuta katika jaribu hilo, lakini heshima ya mtu si jambo la kupuuzwa.
Ukiskiliza story hii hutooa single mother kamwe.
Jamaa alikuwa anarudi hapa dodoma toka Dsm kupitia SGR ndani ya treni akakutana na mtoto mkali .
Wakapiga stori nyingi, akaomba namba. Kufika home akaanza kutupia mistari.
Demu akamwambia sawa mimi nimekuelewa ila nina mtoto mmoja kama utakubali kuwa baba yake it's okay 👇👇
@Nurjan_seyd Haya magulio yanaenda yakipoteza mvuto,sababu maana yake imekuwa tofauti na hali za kiuchumi zinazidi kuporomoka!Kipindi cha nyuma watu walikuwa wanaenda kwa ajili ya kujipatia bidhaa kwa bei nafuu sababu ni maonesho,siku hizi ni gharama bora hata huko madukani+hali za maisha
Kuna kitu kinaitwa Spiritual Maturity.
Ni pale unaacha kumuabudu Mungu kwa sababu ya miujiza.
Unaanza kumuabudu kwa sababu ni Mungu.
Hata maombi yakichelewa.
Hata milango ikifungwa.
Bado unasema,
“Mapenzi yako yatimizwe.”
Steve Jobs, mwanzilishi mwenza wa Apple, aliwahi kusema:
"Do not try to do everything. Do one thing well."
Kwenye biashara yako...
- Chagua hadhira lengwa
- Tatua tatizo moja walilonalo
- Toa ofa moja inayowasaidia
KUWA SPECIFIC. Ukijaribu kuuza kwa kila mtu, hautauza kabisa.
Nilimuuliza mwalimu mmoja kwa nini watoto wa matajiri ufaulu wao ni tofauti sana kuliko hawa wa familia za kawaida ..
Jibu alilonijibu yule ticha ,
Lilikuwa jibu ambalo wazazi wengi hawataki na wasingependa kulisikia.
👇